Kadiri unavyoukimbia mwangwi ndivyo unavyoukaribia

hivi huwezi kumloga DJ akachia chama maana sasa anazidi kuharibu badala ya kujenga..
Ndio nani huyo?
Chama gani hicho?
Uharibifu gani huo?

Jr[emoji769]
 
Na satnaiza ninayo mkuu
Safi kabisa... Kuna mmoja nilimuuliza kama ana barakoa akasema hana hiyo ila anayo ile nyingine.. Nikamuuliza ipi hiyo? Akasema kolonya... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji30][emoji30][emoji30]nikajua hapa mwangwi umeshapenya.. Hauna mshindo nyuma tena

Jr[emoji769]
 
Wa Wanasema na hili LITAPITA PIA,hii kauli wanaipenda sana, ila hii kauli hiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!
 
Karibu miezi 2 sasa mtu amejilock down na ndege ikaleta mabox machache kwa ajili ya familia, tunaambiwa ni kwa utafiti...
 
Karibu miezi 2 sasa mtu amejilock down na ndege ikaleta mabox machache kwa ajili ya familia, tunaambiwa ni kwa utafiti...
Madagaaa ya kolovya 19

Jr[emoji769]
 
Uchaguzi wa nwaka huu utakuwa na mvutano sana
tunakosea sana tunapouita uchaguzi. tuseme upitishwaji wa waliopendekezwa na wenyewe, nahisi italeta mantiki zaidi. Maana penye uchaguzi lazima pawe na chaguo. Sasa kama hakuna chaguo hapo dhahiri hakuna uchaguzi bali maamuzi.
Pia tuondoe dhana kuwa kutakuwa na la tofauti mno. Watu watapewa ubwabwa na maharage, fulana, kapero, tshirt na kwa vile kuna hili janga watapewa barakoa halafu maisha yataendelea kama kawaida.
 
Huyu mgonjwa ghali zaidi duniani ni yule spika wa bunge la mafichoni rubondo chattle ambaye alitumia karibia billioni 3 huko uhindini bila shaka.
 
Si unajua tena mtu akikosa cha kuandika? Ni kama uraibu fulani.. Ni lazima kuandika kitu ili mkono utulie na vidole visiwashe... [emoji23]

Jr[emoji769]
Ha ha ha !
Vidole vinakuwasha sana mkuu.
Jamaa akitoka Rubondo utaipata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…