Wengine hawatembei pekupeku. Nilisoma Maua na walikuwa hawana sheria sana na hivyo tulisoma. Actually, wakati huo Fr Gandolf alipokuwa Rector kila mwanafunzi alisoma kwa uhuru ili atakapomaliza masomo ndipo achague kuendelea na maisha ya wito au achague kwenda maisha tofauti. Kwa hiyo, kuanzia Form I-IV, kila mmoja alikuwa free. Kuanzia Form V na kuendelea ndipo kila mmoja ilibidi achague awe wa jimbo au wa shirika na hasa kuanzia Form V kila mwanafunzi alihitaji awe sponsored kusoma.