saa nyingine walinzi huwa kituko, juzi kwenye mkutano wa hadhara kwenye moja ya mkoa alioutembelea mlinzi mmoja aliyekuwa kwenye lango la ukaguzi kwa wanaongia uwanjani alimkemea vibaya mtoto mdogo aliyekuwa hafuati foleni ili akaguliwe ndio aingie. Mtoto hakuelewa kama kuna foleni ya kupekuliwa na kukaguliwa. Mi mwenyewe sikupenda ule ukaguzi nilipoambiwa nipandishe suruali na na kuacha tumbo wazi kana kwamba mlinzi alikuwa hana scanner. Hawa walinzi wako nyuma sana katika ulinzi hata USA hawako hivyo katika ulinzi wa rais wao wanamuachia faragha zake aongee na wenzakeKazi zingine za ajabu sana, Rais anaongea na Kardinali walinzi bado wako matakoni, wanahisi kajifunga mabomu ndani ya kanzu nini?
Kwanini wasitumie common-sense.
Hakuna mbunge wa JMTbali kuna bunge la jamhuri ya Muungano ambalo huundwa na wabunge na Rais.Hiyo ni semantics tuu...kwa mfano ukisema Mbunge wa JMT au US Senator...mleta mada anaweza asiwe na uelewa mkubwa wa hierarchies za RC , lakini uwakilishaji wake hajakosea sana...Rugambwa ni Askofu Mkuu wa kanisa katoliki Nchini TZ ambaye kituo chake cha Kazi ni Tabora, kama mnakumbuka Ruwaichi alikua Mwanza akahamishiwa Dar...pia Protase ni kardinal ambaye kituo chake cha Kazi ni Tanzania...wenye kumbukumbu kuna interview alifanya Askofu kilaini na akasema kanisa katoliki TZ lina bahati kubwa sana kuwa na makadinali wawili ambao wanauwezo wa kumchagua Pope ,ikitokea vacancy...
Na kwa ranks ya kanisa ilivyo Rugambwa sio Askofu Mkuu wa kawaida..yeye ndie mshauri Mkuu wa pope kutokea kanisa katoliki Nchini Tanzania...
Huwezi kumwita PM Majaliwa au Mawaziri eti ni wabunge tuu kama kina kibajaji,Msukuma na wengine wa aina yao.
Hivi protocol akiwepo Ruwaichi Askodu Mkuu Jimbo kuu Dar.Rugambwa Cardinal na Mkuu wa Jimbo kuu Tabora,Nyaihoza Chairman Tec. Kwenye utambulisho naanua na nani? Fuatilia hotuba ya waziri mkuu akiwa Tanga kumsimika Askodu wa Tanga.
Hii umeitoa wapi mkuuAskodu Ruwaichi ndo Mkuu wa kanisa hata hivyo Kuna chombo kinaitwa Baraza la Maaskofu Chairman ni Nyaiongwa
Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki nchini Tanzania, Kadinali Protase Rugambwa amekutana na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuapishwa kwake.
Mara baada ya kuwasili Kadinali Rugambwa alimuombea Rais Samia sala maalum kumtakia heri katika uongozi wake.
Tabora ni nyumbani! Karibu sana Mama wa Taifa
Wale wanaosema Mama ana shida na TEC bado mko na msimamo wenu au?
Mwezi huu itakuja habari ambayo wengi wenu hamtoipenda, habari hiyo itakuja kabla ya maandamao yetu ya mchongo ya akina Mwabukusi. #MamaYukoKazini
Rais Samia Suluhu chuma hiki kimeaga kwao Kizimkazi.
View attachment 2785654
View attachment 2785655
View attachment 2785656
View attachment 2785657
View attachment 2785658
View attachment 2785659
Hapa 'kibinadam' lazma kuna shida mahali real or perceived.Punguza ukali wa maneno.
Muadhama Protase Kardinali Rugambwa ni Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu la Tabora.
Hapa, neno 'Mwandamizi' maana yake ni "mwenye haki ya kurithi" cheo cha Uaskofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora, pindi cheo hicho kitakapokuwa 'wazi'.
Cheo hicho kitakuwa wazi baada ya Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora, Mhashamu Askofu Mkuu Paulo Ruzoka atakapofikisha umri wa miaka 75.
Kwa hiyo Muadhama Protase Kardinali Rugambwa ni "Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora ' in waiting' till the day Archbishop Paul Ruzoka celebrates his 75th birthday.
Period.
Kwanza kabisa hakuna protocal ya utambulisho kikanisa (masuala ya itifaki ni kwenye siasa),Hivi protocol akiwepo Ruwaichi Askodu Mkuu Jimbo kuu Dar.Rugambwa Cardinal na Mkuu wa Jimbo kuu Tabora,Nyaihoza Chairman Tec. Kwenye utambulisho naanua na nani? Fuatilia hotuba ya waziri mkuu akiwa Tanga kumsimika Askodu wa Tanga.
Hapa 'kibinadam' lazma kuna shida mahali real or perceived.
kiutawala hii lazma itasumbua sana adi uyo cardinal atakapopewa ilo jimbo.
Usichukulie poa nguvu ya Kadinali wa kanisa katoliki,eti ceremonial.Huyo anaongea moja kwa moja na papa,ni mshauri wake,anaingia kwenye papal conclave.
Anao uwezo wa kuwasagia kunguni maaskofu wengine kwa papa
Muulize Kilaini kilichompata aliposema Kikwete chaguo la Mungu
Kama unafikiria ndani ya mipaka Fulani, utadhani hivyo....but hapa tunaongelea dude kubwa hapa Duniani..ndio maana baadhi yetu tuna-base argument zetu katika uwanda huo.Hakuna mbunge wa JMTbali kuna bunge la jamhuri ya Muungano ambalo huundwa na wabunge na Rais.
Sasahivi wanaugulia taratibu.Kanisa Moja Takatifu la Mitume 😀
Kwenu FaizaFoxy na The Boss plus The Big Show
Hv vikofia mbna ninyi hamvai bwashee???Kanisa Moja Takatifu la Mitume [emoji3]
Kwenu FaizaFoxy na The Boss plus The Big Show
Anapiga brashi viatu vya MamaHata India aliambatana naye ana cheo Gani kwa sasa?
Si kweli. Hana hiyo nguvu. Someni basi Church hierarchy. Navoandika ninaifahamu vizuri ndio maana nawashangaa mpaka wakatoliki hawajui.Usichukulie poa nguvu ya Kadinali wa kanisa katoliki,eti ceremonial.Huyo anaongea moja kwa moja na papa,ni mshauri wake,anaingia kwenye papal conclave.
Anao uwezo wa kuwasagia kunguni maaskofu wengine kwa papa
Muulize Kilaini kilichompata aliposema Kikwete chaguo la Mungu
I agree. Na jurisdiction yake mwisho ni hapo hapo Tabora sio nchi nzima. Ndio kitu wanasiasa na lay people don't get.Punguza ukali wa maneno.
Muadhama Protase Kardinali Rugambwa ni Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu la Tabora.
Hapa, neno 'Mwandamizi' maana yake ni "mwenye haki ya kurithi" cheo cha Uaskofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora, pindi cheo hicho kitakapokuwa 'wazi'.
Cheo hicho kitakuwa wazi baada ya Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora, Mhashamu Askofu Mkuu Paulo Ruzoka atakapofikisha umri wa miaka 75.
Kwa hiyo Muadhama Protase Kardinali Rugambwa ni "Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora ' in waiting' till the day Archbishop Paul Ruzoka celebrates his 75th birthday.
Period.
Kuna ugumu gani kwani hapo kujua hilo?🤷🏿♂️Kuwa sijui walijuaje, au unataka kuwaza nini bila mfano?
Mkuu hayo mambo sio rahisi kama unavoandika hapa kumbuka hawa ni binadam tena ni binadam wa ngozi nyeusi! wana feelings pia kama binadam mwingine yyote.Kibinadamu na mtazamo wa kimtaa upo sahihi kwamba sisi tunakua tunauelewa tofauti na hivyo kudhani H.E Cardinal Rugambwa anamamlaka makubwa kuliko H.E Archbishop Ruzoka.
Lakini hapo unapoongelea kiutawala kwamba itasumbua sio kweli, utawala wao ni kwa kanisa na waumini wake, hakuna mahali Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa atatoa maamuzi binafsi kama hajapewa mamlaka hayo na Mhashamu Askofu Mkuu Rugambwa.
Mfano sahihi tunaupata katika jimbo kuu la Dar es salaam, Askofu Mkuu Ruwaichi alitoka Mwanza akiwa na mamlaka kamili ya Askofu Mkuu, lakini alipofika DSM akawa Askofu Mkuu mwandamizi, chini ya Kardinali Pengo.
Hakuwahi kufanya jambo lolote la maamuzi bila maelekezo ya Kardinali Pengo aliekua bado ni Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la DSM, ambalo lingeweza kuleta mkanganyiko.
Baada ya Kardinali Pengo kustaafu na kuachia rasmi Jimbo Kuu la DSM, ameendelea kubaki Kardinali (Cheo sawa na kile alichonacho Kardinali Rugambwa) lakini kimamlaka kwa jimbo kuu la DSM yupo chini ya Askofu Mkuu Ruwaichi, hawezi kufanya jambo lolote la kimaamuzi wala kiuchungaji isipokua kwa maelekezo kutoka kwa Askofu Mkuu Ruwaichi.
Hijab imempendezesha sana mamaAskofu Mwandamizi Jimbo kuu la Tabora, Kadinali Protase Rugambwa amekutana na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuapishwa kwake.
Mara baada ya kuwasili Kadinali Rugambwa alimuombea Rais Samia sala maalum kumtakia heri katika uongozi wake.
Tabora ni nyumbani! Karibu sana Mama wa Taifa
Wale wanaosema Mama ana shida na TEC bado mko na msimamo wenu au?
Mwezi huu itakuja habari ambayo wengi wenu hamtoipenda, habari hiyo itakuja kabla ya maandamao yetu ya mchongo ya akina Mwabukusi. #MamaYukoKazini
Rais Samia Suluhu chuma hiki kimeaga kwao Kizimkazi.
View attachment 2785654
View attachment 2785655
View attachment 2785656
View attachment 2785657
View attachment 2785658
View attachment 2785659
Hana nguvu ya kuongea na papa?Si kweli. Hana hiyo nguvu. Someni basi Church hierarchy. Navoandika ninaifahamu vizuri ndio maana nawashangaa mpaka wakatoliki hawajui.