Kadi za uanachama chadema zinahitajika

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Makamanda wa chadema mnasubiriwa sana hapa Dar,pamoja na hivyo watu wengi wanaulizia kadi za uanachama.Mtueleze mnakuja lini Dar na pia kadi zitapatikana?Wakati wa ukombozi ni sasa.Tatizo la SISIMU wasidhani bado ni mfumo wa vyama vingi na vitisho ndivyo husaidia.Cha msingi kuondoa kero za walalahoi na umaskini uliokithiri.Tanzania inaongoza kwa maziwa,bahari,mito,makaa ya mawe,gase,upepo,urenium halafu bado kuna mgao wa umeme miaka 50 baada ya uhuru?Kuna ardhi kubwa ya kutosha,mabonde,nguvu kazi,bado tunalalamika mvua hakuna,.Tunaongoza kwa mbuga za wanyama,Mlima mrefu afrika,Ziwa lenye kina kirefu duniani,Ziwa kubwa la pili kwa ukubwa,bado tunashindwa kwenye utalii.Tanzania ina madini mengi sana ulanga,bati,tanzanite,almasi,dhahabu bado tunashindwa?Misitu ndio usiseme,Mifungo tupo kwnye top 10.Machozi yzmenitoka imebidi nikatishe hii post yangu,mnisamehe jamni nina machungu sana
 
HATA MIMI SASA NIMESHAWISHIKA KUJIUNGA NA CDM. NIMEONA NDICHO CHAMA CHA UKOMBOZI. :rain:
 
kauli ya mzalendo halisi. Mungu akubariki sana mpendwa.

Glory to God
 
Tangu vyama vingi vilipoanzishwa CDM ndo imeonesha upinzani haswa maana serikali haina raha, kuanzia kwenye bunge la tisa walipoibua ufisadi mpaka sasa CCM na serikali yake inahaha kuimaliza nguvu CDM lakini wapi. Uwezo wenu usio wa kinafiki wa kushikilia misimamo yenu hata pale kwenye msukumu mkuma ndiyo umewapa sifa kubwa. Tunashuhudia sasa hivi serikali inaanza kutuma watendaji wake wawaeleze wananchi kulikoni ugumu wa maisha, lakini kama si huu msukumo wa CDM sidhani kama ingefanya hivo. Hongera CDM, vile vile muwe makini sana maana CCM wanawaangalia kwa jicho la husuda, watatafuta kila njia kuwasambaraatisha. Imarisheni intelijensia yenu.
 
Nduli JK,sababu za kumpiga tunazo!uwezo tunao! nia tunayo! afute CDM tuchukue nchi fasta.
 
Makamanda wa chadema mnasubiriwa sana hapa Dar,pamoja na hivyo watu wengi wanaulizia kadi za uanachama.Mtueleze mnakuja lini Dar na pia kadi zitapatikana?Wakati wa ukombozi ni sasa.Tatizo la SISIMU wasidhani bado ni mfumo wa vyama vingi na vitisho ndivyo husaidia.Cha msingi kuondoa kero za walalahoi na umaskini uliokithiri.Tanzania inaongoza kwa maziwa,bahari,mito,makaa ya mawe,gase,upepo,urenium halafu bado kuna mgao wa umeme miaka 50 baada ya uhuru?Kuna ardhi kubwa ya kutosha,mabonde,nguvu kazi,bado tunalalamika mvua hakuna,.Tunaongoza kwa mbuga za wanyama,Mlima mrefu afrika,Ziwa lenye kina kirefu duniani,Ziwa kubwa la pili kwa ukubwa,bado tunashindwa kwenye utalii.Tanzania ina madini mengi sana ulanga,bati,tanzanite,almasi,dhahabu bado tunashindwa?Misitu ndio usiseme,Mifungo tupo kwnye top 10.Machozi yzmenitoka imebidi nikatishe hii post yangu,mnisamehe jamni nina machungu sana

Heshima kwako mkuu,
umenitoa machozi..nilitaka kuandika lakini hakuna ulilobakiza.
 
Ukombozi upo karibuni tusikate moyo watanzania wenzangu, tushikamane ilituweze kuling'oa jinamizi au mkoloni mamboleo.
 
kila anaehitaji kadi ni muhimu kwanza akadhamiria kuipa kura cdm 2015 kuliko kumiliki kadi, chadema ni cha wote walio na vyama na wasio na vyama kwani kama wewe ni masikini ktk nchi hii basi wewe ni cdm maana ndo wanahangaikia mataatizo yako, hivi mi nahjiulizaga eti mtu uko chama kimoja na R.A hivi wewe una akili kweli?
 
Back
Top Bottom