Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,029
- 59,684
Ukichoma kadi moto ndo solution?au ndo kikwete ataondoka madarakani?embu acheni upuuzi huo.
Kuchoma moto kadi za CCM, siungi mkono hata kidogo.
Ni kweli hautaunga mkono kwasababu ktk kadi zilichomwa hakuna moja iliyo yako. Kadi ni mali ya mwenye kadi akiisha ilipia. Ana hiari ya kuitupa chooni, baharini, kuwapa viongozi wa CHADEMA au hata pia kuichoma moto. Mimi nasema wafanye ile kitu moyo napenda.Kuchoma moto kadi za CCM, siungi mkono hata kidogo.
majengo yenu mengi ni mali ya WaTZ, mlijimilikisha kifisadi,hatuta choma moto, ila tutawarudishia WaTZ wenyewe, hii ni pamoja na viwanja vya soka. . . .Zinaanza taratibu leo kadi, kesho kofia na khanga, keshokutwa majengo ya ccm na magari yao, huku tunakokwenda sio siasa nzuri
Kadi za CCM zimeliwa na moo tr 25 June 2011 UDOM.. mchakato huo ulikuwa chini ya TINDU LISU akiamuru vija lazima tuitambue nchi yetu tena vijana lazima tujue haki za msingi kama wasomi tena watetezi wazuri wa maisha yetu ya baadaye vile vile baadhi ya walifanya tendo la busara kurudisha kadi za CCM ndipo zikaachomwa moto……