Brightburn
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 533
- 893
Ndio boss, shukran sana! Nimerekebisha makosa.Nadhani ulimaanisha gharama ya awali na gharama mpya yenye ofa sio ?
Ndio boss, shukran.Mkuu jitahid ufanye kazi za kiwango na maajabu makubwa, technolohia iko mbali sana
Shukran boss!Nice
Tunaweza ikunja tukaweka picha ya maharusi au urembo tu wa kawaida.Ukiikunjainakuaje?