Mkuu, Swali hili alishalijibu Granta: Ya kwamba serikali ni mimi na wewe, hivyo watu wakihesabiwa kwa dini zao. Kama viongzi wachache wa kiislamu wanavyotaka ni kwamba serikali ianze kusikiliza na kuzingatia mahitaji na huduma ziwahusuzo Waislamu kwa kuzingatia percentage ya waislamu badala ya percentage ya watanzania kwa ujumla wake. Na ndio maana hoja hii imeletwa na waislamu na sio wanasiasa.How many Christians and other minorities ?and why nobody except Muslims didn't want this included in the census questionnaire?you answer that i will give you a general idea how"minority" muslims are!
Yeah We must fight against this.
Yaani ikiingia hiyo Sharia manake ile haihusiani na torati wala injili ya musa: Zile zinatungwa kwa jinsi wanavyojisikia na muda unavyokwenda. Jamii watakuwa na vilema wengi. Kuna watu wanashangilia tu humu, lakini watapoteza miguu, mikono shingo... haki za binadamu na za wanawake zitakuwa zinabakwa:watakeketwa humu!! ohooo. Elimu ndo itarudi nyuma miaka 50. Yaani kila nikifikiria NAskitika sana; nina sista angu ambaye ni mrembo sana lakini kaolewa na hawa watu: hali yake itakuwa mbaya sana, japo kwasasa ndo kafanywa festi lady. Mungu tusaidie. Ila alionywa akaleta ubishi.
Teh teh teh.
Ndio basi tena mimi nishamuoa huyo dada yako.
Najilia zangu tuh kwa nakshi nakshi.
Na mahakama ya kadhi ikija itamuhukumu huyu dada yako.
Teh teh teh.
Mumeifuata torati ambayo haijatimilizwa na Yesu. NA kuhusu injili hamkuifuata kivitendo kabisa!! Ama sivyo Yesu angekuwa wakwanza kutupia mawe yule mwanamke mzinzi aliyepelekwa mbele yake.'Na humo (katika Tourat) tuliwaandikia (Wayahudi) kwamba roho kwa roho, na jicho kwa jicho, na pua kwa pua, na jino kwa jino na kwa majeraha kisasi. Lakini atakye samehe basi itakuwa ni kafara (sacrifice) kwake. Na wasio hukumu kwa yale aliyoyateremsha Allah, basi hao ndio madhaalimu.
Qur'an:5:46
...............mbona sheria zetu nyingi tumekopi kutoka Tourat na Injil !?..........kwani kuna wakati nyinyi mlipewa andiko (Kutoka Tourat au Injil) kuwa sheri zilizomo humo hazina maana au zisifuatwe !?
Soma: Q: 5:44-50. 2013
Teh teh vipi huyo mrembo hana dadake namie nijilie tartiiiiiiib
Amani gani unayoitaja hapa?
We bila kutoa rushwa ktk kupewa haki yako Utaipata hapa TZ?
Watu wanauwawa na mjambazi kila siku na askari vitambi vinaongezeka km wajawazito HIO NDIO AMANI?
Watoto wadogo wanalawitiwa makanisani na ubakaji kukithiri kila kona Hio NDIO AMANI?
Watu wa tabaka fulani Kupendeleqa ktk Serikali na wengine KUKANDAMIZWA hapo kuna AMANI?
Wewe na mimi kuweza kumuona Rais wa Nchi yetu Itakuchukua miaka 10 kupewa Appointment lkn wengine Wanaingia Ikulu km nyumba zao za mke mdogo Hio ndio AMANI?
Au we mpaka Usikie Mizinga Inaripuka Ndio ujue Nchi haina amani?
Amka muefeso! Tanzania Amani HAKUNA.!!!!! Kilichopo ni MAISHA YA KUBABATIZA TU!
Mahkama ta Kadhi Utasaidia sana kuyapunguza haya maouvu lkn Tatizo wengi wenu HAMTAMBUI HILO.
Unanitatiza na Lugha yako!
Kwenye "L" Unaandika "R"! we kma sio Mkurya basi utakuwa mzanaki kabila la laanatullah Nyerere!
Huwezi kujenga hoja kwa Kudhanidhani!
Hakuna Dini au imani ISIOKUWA NA MADHEHEBU!.
na inapokuja Suala la Mahkama hilo Sio tatizo hatta kidogo.
Nimekwambia Tazama mfano wa KENYA na UGANDA. lkn tatizo lako elimj ndo Kuchnehii!
Hebu nitajie matatizo yanayozikuta Mahkama za Kadhi huko Kenya na Uganda! Taja hata Kidogo tu!
Utakuta kuwa huu ni UNAFIKI TU mnaousambaza ili waislamu wasiweze kuwa na UHURU WAO WA KUABUDU.
Kumbuka UISLAMU sio km UKRISTO.
Uislamu ni MFUMO KAMILI WA MAISHA kuanzia namna ya kutafuta maisha, malezi, maisha ya jamii, elimu, ibada na mpaka Sheria.
Sio nyie imani yenu imebaki kuimba tu kanisani na kunywa dodoma wine!
Sisi ndio tunaotaka Kuhukumiwa na Sheria za Mungu wetu ambae ni Mungu wako na ni Mungu wa walimwengu wote japokuwa nyie Mnalikataa hilo.
Iweje Hukumu ije kwetu sisi halafu nyie liwasumbue hili?
Hii mahkama inawahusu nini nyie ambao ni maadui wa Uislamu?
Mnataka kila mmoja ahukumiwe na Sheria za kikafiri? Wakati kuna uwezekano wa kuhumiwa na sheria za Mungu?
Wachilia mbali Mahkama ya Qadhi ambayo wala haihusiki na makosa ya jinai,
Nchi za Kiislamu Ambazo ZINAHUKUMU KWA Sharia kwa mtazamo wenu nyie wagalatia ni Nchi ambazo watu wake HAWANA RAHA WALA UHURU KABISA au sio? Na ni NCHI KATILI KABISA sio?
Sasa kwa taarifa yako Muislamu yyt akipewa Ofa ya kwenda kuishi nchi km hizo Atatoa shukran kubwa mno.
Na nchi hizo zinazidi Kujaa watu wa kila IMANI, so much so Wagalatia wa kiyahudi kutoka Ethiopia walivamia SAUDI ARABIA kwa Wingi Kiasi kwamba ilibidi serikali uwakamate kwa nguvu na kuwarudisha makwao.
Acheni Roho ya korosho! Mtatuletea maafa nchini.
Shauri yenu. Moto ukiwaka hayo makanisa yatakuwa madogo mno kujifichia.

Mumeifuata torati ambayo haijatimilizwa na Yesu. NA kuhusu injili hamkuifuata kivitendo kabisa!! Ama sivyo Yesu angekuwa wakwanza kutupia mawe yule mwanamke mzinzi aliyepelekwa mbele yake.
Hawa jamaa baada ya kufa yule mzee wao mchonga meno mwenye laana basi wamekuwa wanaish kwa was was sana.
Dhulma walizozifanya ndan ya nchi hii zinawasuta sana.
Nakuhakikishia, mahakama ya kadhi haitakuwa suruhisho kwa sababu kuu mbili;-
1) UKOSEFU WA UTII KWA MAMLAKA.
2) TAMAA
Yaani kutakuwepo na shida maana ninyi si dhehebu moja. Kadhi akiwa Shiha, Sunni hatomwamini maani maana hatakufunga na kufungua mnapishana.
Tunaona mnavyovurugana wenyewe kwenye uongozi wa misikiti. Sikukuu iliyopita huko Tabora kuna waliosali uwanjani na wengine msikitini wakikinzana.
KWA HIYO MAHAKAMA YA KADHI KUINGIZWA KWENYE KATIBA SI SURUHISHO.
SURUHISHO LIPO TANGU MWANZO KWA KUWEPO NA UHURU WA KUABUDU NCHINI MWETU. LABDA MKISEMA IJUMAA MSIENDE KAZINI, NADHANI HAPO TUTAWASAPOTI MAANA MNA HAKI YA KUSALI LAKINI SI MPAKA IINGIZWE KWENYE KATIBA MAANA PRIVATE WATAOGOPA KUWAAJIRI.
Tax payers. I mean your taxes.Ni nani atakae gharamia shughuli za uendeshaji wa mahakama ya Kadhi?
Kama itagharamiwa na kodi za watu wote bila kujali dini zao hapo kuna walakini.
Naomba nielimishwe kuhusu hili.
Thanks.
Tanzania is not Kenya or Uganda or etc.........kyee....kyeee...kyeeeeh !.........kwahiyo Zanzibar, Kenya, Uganda na wengineo (wenye Kadhi court katika Katiba) wana KATIBA BATILI !??😛eep:
Read about Indonesia:gossip:...........una mfano wowote wakuonyesha kuwa nchi fulani ilifunguliwa Kadhi Court, na baadae ikasababisha kuanzishwa "Sharia Law" !?........au ni kuropokwa tuu ! TanzaniaLaw
Tell me why do you think Kadhi Court is absolute? So far, you never said why.........duuuh ! naona haulali kwa Kadhi Court !..........itakuwepo tu, hata ukinuna !
There is no Taurat in Islam. You are wasting your time to quote something that doesn't exist in your religion. Nevertheless, why do you think Kadhi Court is absolute?'Na humo (katika Tourat) tuliwaandikia (Wayahudi) kwamba roho kwa roho, na jicho kwa jicho, na pua kwa pua, na jino kwa jino na kwa majeraha kisasi. Lakini atakye samehe basi itakuwa ni kafara (sacrifice) kwake. Na wasio hukumu kwa yale aliyoyateremsha Allah, basi hao ndio madhaalimu.
Qur'an:5:46
...............mbona sheria zetu nyingi tumekopi kutoka Tourat na Injil !?..........kwani kuna wakati nyinyi mlipewa andiko (Kutoka Tourat au Injil) kuwa sheri zilizomo humo hazina maana au zisifuatwe !?
Soma: Q: 5:44-50. 2013
Statistics zenu za TEC ambazo ziko fabricated mnataka kutudanganya sisi kadanganyeni huko huko na sisi mbona Mohamed Said amewapa Statistics za NBS za 1967 zinasema Waislamu ni 60% na Wakristo ni 40%?
Na CIA wanasema hapa mainland : Christian 30%, Muslim 35% , indegenous beliefs 35% Zanzibar: Muslim 99% others 1%
https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/tz.html
Haya jibu nishakupa una jengine? Na kama mpo wengi mbona mlikataa kuweka kipengele cha dini katika sensa ya mwaka 2012? Mwaka huu kila kitu kinakwama kuhusu hii katiba.