Umri wote huu lakini akili ya kuchambua mambi ni shida tupu.. Ni utapia mulo wa mawazo au ni nini?Twalibu Kadege - Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha UPDP , Anasema kwa uwazi kuwa: Tume huru ya taifa ya uchaguzi iko vizuri sana na atakayeshinda atatangazwa.
Hili pumbavu!Twalibu Kadege - Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha UPDP , Anasema kwa uwazi kuwa: Tume huru ya taifa ya uchaguzi iko vizuri sana na atakayeshinda atatangazwa.