GE2025 Kadege: Nikipata Urais waandishi mtegemee uhuru wa habari, tutawapa vitendea kazi

GE2025 Kadege: Nikipata Urais waandishi mtegemee uhuru wa habari, tutawapa vitendea kazi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha United People Democratic Party (UPDP), Twalib Kadege, amewasili katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi majira ya saa 7:53 mchana, akiwa ameambatana na mgombea mwenza wake kwa ajili ya kuchukua fomu za kuwania nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu hizo, Kadege amesema wamejipanga kuhakikisha sekta ya afya na kilimo zinapewa kipaumbele endapo watapewa ridhaa na wananchi kuongoza nchi.
 
Back
Top Bottom