comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,480
- 17,392
Mbona mna tuchanganya,tunahitaji kuufahamu ukweli na sii habari za kuchanganya kwa manufaa ya genge loloteKWAMBA WASIOJULIKANA HAWACHAGUI WA KUWADHURU? AU TUNAJARIBU KUBALANCE MAMBO DAKIKA ZA JIOOOOOOOOONI, KUELEKEA SEPTEMBER 23
——
Watu wasiojulikana wanadaiwa kumvamia na kummwagia kimiminika kinachosadikiwa kuwa tindikali, kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Idrissa Makishe.
Kada huyo mkazi wa Njoro wilayani Moshi amepata majeraha usoni na mikononi na amelazwa katika Hospitali ya Mawenzi.
Msemaji wa hospitali hiyo, Venna Karia, amesema Septemba 20, saa 3.00 usiku walimpokea mgonjwa huyo anayeendelea na matibabu.
"Septemba 20 tulimpokea mgonjwa anayeitwa Idrissa Makishe akiwa amejeruhiwa usoni na mikononi. Inaonekana alimwagiwa kimimimika kisichojulikana ni cha aina gani ambacho kilimsababishia majeraha hayo," amesema.
Alipotafutwa kwa njia ya simu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa kuzungumzia tukio hilo hakupatikana.
Mpandisha uzi anaweza kutusaidia iwapoikibainika na wachadema na sii ccm kama anavyosema.Kuna habari kama hii imepandishwa humu inasema huyo ni kamanda wa CDM
So which is which!
Ndio uandamane sasa septemba 23Hili genge la wahalifu lilaaniwe!,
Yaani wanapiga kote kote!
MUNGU ATUSAIDIE LISIANZE KUTEKA VIONGOZI WETU WA CCM.
Andamana septemba 23Chadema wapumbavu sana akitekwa/kuumizwa, ni CCM, akiumizwa wa ccm / kutekwa ni maigizo, basi na chadema wanaigiza, tujenge tabia ya kutokukejeliana kwa yeyote anayeumizwa.
NI DRAMA HIZI BHANAKWAMBA WASIOJULIKANA HAWACHAGUI WA KUWADHURU? AU TUNAJARIBU KUBALANCE MAMBO DAKIKA ZA JIOOOOOOOOONI, KUELEKEA SEPTEMBER 23