DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 2,202
- 4,739
Hakika inastaajabisha!
Kuna ndugu yangu mmoja ni kada wa chama cha siasa hapa Afrika Mashariki, kwa kweli hashikiki linapokuja suala la elimu.
Huyu "kada mbubujikwa" ni miongoni mwa wale makada kindakindaki ambao wako tayari kuvishwa hata sketi kwa ajili ya kukitetea chama chao.
Alinisimulia mengi sana, ni mtu wa hisia kali, anabubujikwa na machozi wakati wote. Basi tena, nikaanza kumsihi kizungu huku nampangusa makamasi ya uchungu yaliyochangamana na furaha.
Alinieleza yeye ana CERTIFICATE IN SECRETARIAL STUDIES na amesomea chuo cha Amazon College.
Ukikata kushoto unaingia kulia utaona chuo kina bati la rangi ya kijani ndo hapo. Nyuma ya stendi.
Huyu ni kada wa mfano ambaye ni miongoni mwa wasomi wabobezi katika nchi hii.
Sisi sote tuige mfano wake.