Kada Mashuhuri wa CCM Newala ajiunga CHADEMA

Ccm tayari mawazo yao ni kuwa Adam atagombea kupitia Chadema 2015 na wanakosa usingizi.Magamba hao ndio kawaida yao kutumia jina la Marehemu Baba yake wakati wakiomba kura hivyo kitendo cha yeye kuvua gamba kimewauma sana.
 
Acheni mambo ya udini most of us tuko kwenye hizii dini coz of our parents, tuongee logic tuangalie nchi yetu itaendelea vipi sio mambo ya CDM and CCM kila siku absolutely bollocks

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Kamanda Adam amepandisha Bendera ya CDM juu ya nyumba anamoishi kitendo ambacho Magamba wanadai kuwa anachafua nyumba.Mbali ya hilo mikutano ya CDM hufanyika hapo nyumbani tena ambalo linaendelea kuwanyong'onyesha sana
 
Kamanda Adam amepandisha Bendera ya CDM juu ya nyumba anamoishi kitendo ambacho Magamba wanadai kuwa anachafua nyumba.Mbali ya hilo mikutano ya CDM hufanyika hapo nyumbani jambo ambalo linaendelea kuwanyong'onyesha sana
 
Hii ni dhahiri kwamba hata wewe una mashaka na uwezo wa JK
 
Hivi Kusini wamekwisha ruhusu mikutano ya siasa na mikusanyiko? Maana walidai watasimamisha mpaja intelejensia yao isome kuwa dira iko poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…