kabyemela ndani ya muleba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kabyemela ndani ya muleba

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by mwibanchani, May 5, 2012.

 1. m

  mwibanchani Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KABYEMELA alipopata pesa aliamua kuondoka BUKOBA alikuja DAR kumtembelea ndugu yake anaye fanya kazi katika jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani(trafic) KOPRO BASHAIJA siku moja aliamua kumtembelea mwenyeji wake ofisin wakashindwa kuongea kutokana na wingi wa magari barabarani akakosa wakukaa nae nyumbani upweke ukamuondoa DAR nakumrudisha MULEBA alipofika akawaita akina kato,magezi,mama koku na nyamwiza akaanza kusimulia:eek:mwana wange ngemela oooh bashaija aaaaashomire kweri agambire magari gastop gastop agambire magari gagende gagenda ooh...yaani (bashaija amesoma sana akisema magari ya simame yanasimama akisema yaende yanaenda)
   
 2. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kwi kwi kwi
   
Loading...