Hiko kitu ni kweli na ni tatizu kubwa sana katika timu yetu sasa imekuwa timu ya watu wachache wenye maamuzi na si timu ya wanachama hatutafika na migogoro haitaisha kamwe na soka letu litazidi kudidimia tu kila kukicha ukifanya vizuri msimu huu msimu ujae mgogoro soka letu wapi linaelekea mbona hatuna viongozi wapenda soka kweli wanaendekeza umimi...!!!