MJINI CHAI JF-Expert Member Joined Dec 12, 2010 Posts 2,202 Reaction score 1,229 Jun 13, 2014 #41 kibol said: lilishindikana kuhamishwa kivip mkuu?em funguka hapo kwa sisi tusio kuwa na uelewa kuhusu hilo tukajifunza kutoka kwako. Click to expand... Walipolifukua eneo lote lilikuwa na harufu kali wakashindwa kuendelea..........walipolifukia harufu ikatoweka...................!!!!!!!!!!!!!!
kibol said: lilishindikana kuhamishwa kivip mkuu?em funguka hapo kwa sisi tusio kuwa na uelewa kuhusu hilo tukajifunza kutoka kwako. Click to expand... Walipolifukua eneo lote lilikuwa na harufu kali wakashindwa kuendelea..........walipolifukia harufu ikatoweka...................!!!!!!!!!!!!!!
Bin Mngereza JF-Expert Member Joined Sep 3, 2012 Posts 610 Reaction score 269 Jun 13, 2014 #42 Swadakta kiongozi,MJINI CHAI ...
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,521 Reaction score 6,517 Jun 24, 2014 Thread starter #43 maguzumasese2005 said: Acha mbwembwe A ni grade tu si kukifahamu na mielimu ya kucrame. Click to expand... Kwa hiyo unashauri wanafunzi wawe wanafeli! Ni kipi kipimo kuwa mwanafunzi amelielewa somo?
maguzumasese2005 said: Acha mbwembwe A ni grade tu si kukifahamu na mielimu ya kucrame. Click to expand... Kwa hiyo unashauri wanafunzi wawe wanafeli! Ni kipi kipimo kuwa mwanafunzi amelielewa somo?