Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,521
- 6,517
kaburi la sharrif nadhani ni abdulrahaman
Yalikuwa makaburi mengi pale ualipohamisho hilo yu ndio lilishindikana kuhama ndipo serikali ikaamua libakie tu hapo nila madhara
lilishindikana kuhamishwa kivip mkuu?em funguka hapo kwa sisi tusio kuwa na uelewa kuhusu hilo tukajifunza kutoka kwako.
Greda ndio lilikuwa linavunjika na sio kaburi wakajua hii ngoma nzito
hahahahahaaa hahaaa! nimecheka msaidie mkuu kumjibu huyu mtoto anakua bado usimlaumu,mkuu greda linavunjika? au lilikuwa bovu?
Greda ndio lilikuwa linavunjika na sio kaburi wakajua hii ngoma nzito
Naomba kujuzwa, huwa naona kitu kama kaburi ndani ya bustani iliyo pembezoni mwa Samora Avenue karibu na JMall/Harbour View, hilo kaburi linatunzwa vizuri sana. Kama ni kaburi kweli, je ni kaburi la nani?
Lile ni kaburi la mzee dar es salaam.alikuwa mzee maarufu sana akiishi.ingia Google search kaburi la mzee dar es salaam.
We pimbi kweli, sasa tutajua vipi kama ninyi msio wa kuja hamuelezi?! Halafu usidhani kila mtu anayeuliza humu yuko Dar, kilaza mkubwa.Jina lake aliitwa "mzee daresalama"kipi hujaelewa?tatizo lenu nyie wakuja.hamju historia ya hapa.hata kaburi la mzee mwenge hamjui liko wapi.hata marehemu mzee shekilango hamumjui.ahh rudini kwenu bara huko
Na wewe kwa makaburi...Inaonekana wewe hata ukiulziwa utaje methali moja, utasema " adhabu ya kaburi aijuae maiti"
wanipe mimi tenda ya kuhamisha.natafuta vijana tuna gonga mnyama pale pale kisha tunaingia mzigoni "Nothing imposible under the sun "bana