Harafu mnajimu Jr analalama mpaka Anita media kuwa kaburi limebomolewa na City!!!!!!, harafu serikali nayo anaandaa mipango ya kulijengea?????!!"!"". Wonders will never end, only in Tz
Kwa nini hawakwenda kuzikwa vijijini kwao!mjini sii sehemu ya makaburi
au alizikwa kavaa dhahabu?Wangemchoma tu moto halafu wahifadhi majivu yao ili wale wanasiasa alikuwa anawatabiria wawe wanaenda kusujudia majivu!!!! Kweli kama serikali inaamini ramli hata kuitolea press release basi tumekwisha!!!
Si Mila wala desturi zetu Waafrika kubughuzi sehemu Za makaburi, hii sasa imekuwa comon kila mahali hapa Tanzania..... Na hii ni kutokana na mmomonyoko wa Maadili, kuanzia kwa viongozi hadi wananchi.
Kweli tumeshindwa kuheshimu sehem Za makaburi?????
Ngoja afufuke aje atutabirie serikali mbili au Tatu?
tehehehheh, kwa style hii sasa naona tunapoelekea ni kutafutiana ile dua waliokua wanataka kumsomea Alhaji Kikwete.
Wamesha aanza,