figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,659
- 62,656
walikosa mahali pa kumzika wakaja kumzika mahali ambapo ni kijiwe cha bangi cha wahuni?, wasilalamike sana, hakushahili kuzikwa swhwmu isiyo na heshma kama hiyo.
shehe yahya ni Munajimu wa Ikulu ni lazima watawala walalamike hata kaburi lake linapo guswa!!
naona unalalamika ninapo piga ikulu vip??Lingekuwa la baba yako ambae ni mnajimu wa wachawi usingelalamika?
Wangemchoma tu moto halafu wahifadhi majivu yao ili wale wanasiasa alikuwa anawatabiria wawe wanaenda kusujudia majivu!!!! Kweli kama serikali inaamini ramli hata kuitolea press release basi tumekwisha!!!