Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,510
- 4,224
Ninafuatilia maazishi ya hayati Kibaki nikiri tu kwamba pamoja na kuwa marehemu hana kauli na wala kuzikwa kwake sio swala la muhimu kwake kwa kuwa amekwisha kufariki lakini nimeshangazwa sana na utaratibu wa maazishi mpaka maziko yake.Maandalizi ni ya hovyo mno.
Mbaya zaidi kwenye kuzikwa ndio kabisa Kaburi halijaandaliwa wala wahusika hawako organized. Pale mtu anayekwenda kurusha udongo angeweza kudondokea ndani ya kaburi bahati mbaya.
Kuna askari mmoja alijikwaa akadondoka. Aise nimeshangaa sana kwanini Kenya haiwapi heshima viongozi wao.
Apumzike kwa Amani Hayati Kibaki.