Chinantunu
Senior Member
- Mar 18, 2013
- 118
- 17
nooooo
Ni Kaburi liliojengwa kwa kulipua lipua la Muasisi mmoja maarufu huko kusini mwa Tanzania.
Na waliolijenga kukimbia moja kwa moja na kulitelekeza na kuwaachia kitendendawili ndugu na jamaa ambao sasa wana kazi ya kujenga kaburi linguine mbadala...kaburi hilo lilijengwa mwaka 2005 na ccm na serekali yake
Imenenwa kwenye maandiko matakatifu kuwa waachane wafu wajizike wenyewe.Ni Kaburi liliojengwa kwa kulipua lipua la Muasisi mmoja maarufu huko kusini mwa Tanzania.
Na waliolijenga kukimbia moja kwa moja na kulitelekeza na kuwaachia kitendendawili ndugu na jamaa ambao sasa wana kazi ya kujenga kaburi linguine mbadala...kaburi hilo lilijengwa mwaka 2005 na ccm na serekali yake
Kama jina la mwasisi ni siri, wacha na kaburi lake liwe siri.Ni Kaburi liliojengwa kwa kulipua lipua la Muasisi mmoja maarufu huko kusini mwa Tanzania.
Na waliolijenga kukimbia moja kwa moja na kulitelekeza na kuwaachia kitendendawili ndugu na jamaa ambao sasa wana kazi ya kujenga kaburi linguine mbadala...kaburi hilo lilijengwa mwaka 2005 na ccm na serekali yake
kwani huyu ni nani?si uweke jina?wengine hatumfahamu weka jina tutagoogle ili tumfahamupicha yaken ndio hio kwa wale wanaomfahamu