capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,268
Virginity
Uwezo wa kuspend hizo hela za mshahara, na kufanyia hiyo nyumba usafi, na awe na leseni ya kuendesha hilo gari.If a man must have a good job or business , car and a house before marriage. What must a woman have before marriage?
Kama mwanaume anatakiwa kuwa na kazi nzuri ama biashara, gari na nyumba kabla ya ndoa. Mwanamke anatakiwa kuwa na nini kimsingi?
Thread closedUwezo wa kuspend hizo hela za mshahara, na kufanyia hiyo nyumba usafi, na awe na leseni ya kuendesha hilo gari.
Kwa ajili ya nini?Virginity
Uwezo wa kuspend hizo hela za mshahara, na kufanyia hiyo nyumba usafi, na awe na leseni ya kuendesha hilo gari.
[emoji28]ewaaaaaah!Thread closed
Baada ya hii comment Uzi ufungweUwezo wa kuspend hizo hela za mshahara, na kufanyia hiyo nyumba usafi, na awe na leseni ya kuendesha hilo gari.
Mnataka tu kufaya maisha kuwa magumu, would that virgin lasts forever?? Mbona mkishaitoboa mnaenda tena tafuta mali mpya??Virginity
Managerial skills for money and family . Nadhani ulikusudia kujibu hiviUwezo wa kuspend hizo hela za mshahara, na kufanyia hiyo nyumba usafi, na awe na leseni ya kuendesha hilo gari.
"runs her own business"Mnataka tu kufaya maisha kuwa magumu, would that virgin lasts forever?? Mbona mkishaitoboa mnaenda tena tafuta mali mpya??
Mwanamke anapaswa awe smart upstairs, really smart..!!
If she can equally have the same things, it's not bad.Baada ya hii comment Uzi ufungwe
BikraIf a man must have a good job or business , car and a house before marriage. What must a woman have before marriage?
Kama mwanaume anatakiwa kuwa na kazi nzuri ama biashara, gari na nyumba kabla ya ndoa. Mwanamke anatakiwa kuwa na nini kimsingi?
Mbona nyinyi hata mkiolewa na vibopa bado mnaenda kuwavulia vyupi wasaka tonge.Mnataka tu kufaya maisha kuwa magumu, would that virgin lasts forever?? Mbona mkishaitoboa mnaenda tena tafuta mali mpya??
Mwanamke anapaswa awe smart upstairs, really smart..!!
Bikra kwa ajili ya nini?? Kila mwanamke amezaliwa na Bikra ujue! Its too simple compared to what men have to possess before marriage. Sth isnt right hereBikra