Kabla ya ndoa mambo huwa hv;-
MME: Nilitaman sana muda huu
ufike.
MKE: Vp wataka niondoke?
MME: Hapana hata kdogo.
MKE: unanipenda?
MME: Ndo maanake.
MKE: Utaniletea dem mwingine
ndani?
MME: Siwezi huo upuuz.
MKE: Utanibusu milele?
MME: Kila mara.
MKE: Je, utanipiga?
MME: Aa haiwez tokea.
MKE: Naweza kukuamni?
MME: Ndio.
MKE: Aaaaaah mpenz?
Ukitaka kujua baada ya ndoa
mambo huwaje? (Anza kusoma
kuanzia chini ukienda juu)