kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,595
Siku ya Ijumaa tar 1 july 2016 nikiwa narudi nyumbani Mafinga muda wa saa 3 usiku Mara gafla pikipiki iliyokuwa mbele yetu ikaongonga Dada aliyekuwa anavuka barabara! Baada ya ajali ile dereva wa pikipiki akaamka akawasha pikipiki na kukimbia!!!! wife akanisihi sana tumsaidie nikasimamisha gari,kwa kweli aliumia sana kiasi cha kuzimia.
kwenye mfuko wa yule Dada kulikuwa na elf 48 pamoja na cm ya Huawei ! cha ajabu sim ilikuwa na PASSWORD tukashindwa kupata namba ya ndugu yake! Hata kupokea cm lazima uweke PASSWORD nikaona huu ni ujinga!Nikatoa line na kuweka kwenye cm nyingine pia INA PIN CODE.
Tukampekeka kituo cha polisi akapewa PF 3! na kupelekwa hospitalil.
Je, kuna uelewa wa kutosha kuhusu faida na madhara ya PASSWORD kwenye cm?