qaxemvule
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 231
- 120
Baadhi ya watu husema ukioa mwanamke aliokwisha zaa na mwanaume mwengine basi ujue umeoa mwanake wa kidume aliezaa nae kwa sababu akimtaka kikwazo hakuna sababu ni mtoto
Je: haya ni sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Je: haya ni sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app