swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,253
- 1,475
Wengi wanatoa hoja za kumkashifu mh.jaji warioba aliyeongoza tume ya kukusanya maoni ya watanzania kuhusu mabadiliko ya katiba na kuiwasilisha bungeni ambayo sasa inaendelea kujadiliwa sasa.
Nikiangalia hasa kipengele kinachohusu muundo wa serikali ya muungano ambao wengi wamependekeza tatu wengine mbili hasa ccm kudai mbili inafedhehesha kwa unafiki mkubwq unaoendelea ukifanywa na makada wengi wa ccm na wastaafu na wengine kwa sababu zao binafsi.
kabla ya kumshambulia Jaji Warioba naomba tujiulize haya:
-Hiyo tume ni ya jaji au ya rais?
-Wanajadili mawazo ya jaji warioba au ya watanzania?
Rais na makada wa ccm wanasema kuhusu muundo wa muungano ni maoni ya warioba na tume yake inawezekana lakini nauona unafiki katika hili nao ni huu:
1.kama ni mawazo ya jaji warioba na si ya watanzania basi ccm na wanaunga mkono hilo ni wanafiki maana tumewatuma kujadili mawazo ya watanzania si ya kaji warioba.
2.kwa sababu jaji amedanganya na wanaushahidi wasitishe bunge la katiba wamshtaki kwa kutoleta mawazo na maoni ya watanzania bali ya kwake na wapambe wake,kama wanaendelea kupiga kelele bila kumwajibisha ni unafiki.
3.Hii ni tume ya rais kama imedanganya asitishe mjadala.vinginevya inaonekana tume imekuwa msumari kwa wasaka vyeo.
Kama wanaendelea,nadhani na nitakuwa sana na imani na tume ya Mh.Jaji Warioba kwa kutokubali kuburuzwa na wakaleta mawazo huru ya watanzania.
Kinachoonejana ni ccm kuona kuwa Jaji Warioba hakuleta kile walichomshinikiza alete ndio maana sehemu ya kuhakikisha walichomtuma akakidharau ni kuleta wazo la kura ya siri ili kulinda makada na waliohongwa kutoenda kinyume cha ccm ingekuwa eti ni ili watu wawaone wwliowatuna wameamua nini inakuaje kwa mikatabaya richmond,dowans na meremeta na ile ya wachina haiko wazi na mingine kusainiwa usiku?eti kura ya wazi huu uwazi ni muhimu kwetu ambao vitu nyeti kama mikataba viko kabatini hatujui kinachoendelea?
Kipi muhimu kuwa wazi kati ya kura na mikataba ya mali zetu(madini)?????
Wanafiki!!!!