Kabla ya kumjadili Kenani Kihongosi turejee kisa cha Hayati Samwel Sita na harakati zake pale UDSM

Kweli kabisa!
 
Sheria inasemaje?
 
Kisa cha huyo jamaa mwenye jina la kinyakyusa kuchapwa viboko na Nyerere na sio Sitta ni kwamba, katika Yale maandamano ya wanafunzi kuna bango lilikua lina waponda Makaburu kwa lugha chafu, kile kitendo kilimuudhi mwalimu.
Sasa mwenye kikao na wale wanafunzi Mwalimu alilaumu mambo ya makaburu yanaingiliana vipi na maandamano yao?
Marehemu akaropoka kama vipi Mwalimu awaombee msamaha.
Jamaa akaitwa akala viboko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…