Kabla sijafa nitatembelea maeneo haya

Nimekutani
 
NITARUDI SIKU KUONESHA UZOEFU WANGU KATIKA MAENEO HAYO
 
Huna hela wewe acha mbaambaa....
Labda uwachangishe kondoo wako na michango ya kujilipua nauli....
 
Utadhani hata Unajua maisha yangu,

Punguza chuki ewe kobazi
Kwa jinsi ulivyo na juhudi za kuposti humu kutwa kucha ,inatosha kusema wewe ni masikini fulani mfia dini huna hili wala lile unajaribu kutoka humu kupitia kondoo wa bwana
Kamuulize mbinu kina kishimba waliokuwepo humu tokea 19 kweusi sasa hivi wana makanisa....
Sio wewe kilaza wa kuleta upupu humu kila siku....
 
Inaonekana unaumia sana 🤣🤣

Kula malimao ,siwez kupoteza mb zangu kukujibu Tena

Umejaza chuki Hadi unatia huruma
 
Hapo mji wa Aksum, Ethiopia, nasikia ndio kumetunzwa The ARK OF COVENANT, lile sanduku alilopewa Musa likiwa na amri kumi
 
Hapo mji wa Aksum, Ethiopia, nasikia ndio kumetunzwa The ARK OF COVENANT, lile sanduku alilopewa Musa likiwa na amri kumi
Yah Kuna story hiyo
 
Wishful thinking
Utaishia kuota tu hizo sehemu na ku google kila siku, lumpen ploretariat
Huna hela weye masingeli , sabato masalia wa uhanging'ombe.
Get a life,
Tafuta maisha badala ya kukaa kila siku kuleta upupu tu! Shwaini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…