Kabla na baada ya ukarabati

Meli ikieegeha isigonge moja kwa moja ukuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu,lakini mbona kama ni mbinu isiyo rasmi? maana hua sio matairi mapya,kwanini wasiweke mfano rubber ngumu ambayo ikabandikwa hapo kwny ukuta km kazi yake ni muhimu hivyo,maana ukisoma hapo ni kampuni ilipewa tenda ya kukarabati kwanini waweke matairi kuukuu? Au na bandari zingine duniani no hivyo!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…