Mkuu, usisahau kuna single mothers wengine wanajitambua.Full Time
Dr congo 1 - 2 Ethiopia
Achana na huyo Mwanamke. Unaoaje Single maza ? Naimani wewe umekuwa mfano hai kwa Vijana wa Ukoo wenu. KATAA NDOA
Single mother wanakuwaga moto sana sema ndiyo ivo ukiishi nae ndiyo unakuja kupata sababu za kwanini ulimkuta singleFull Time
Dr congo 1 - 2 Ethiopia
Achana na huyo Mwanamke. Unaoaje Single maza ? Naimani wewe umekuwa mfano hai kwa Vijana wa Ukoo wenu. KATAA NDOA
Mie sijawahukumu single mothers wengine... Nimemuhukumu huyu wangu. By the way nilivyoanza nae alikuwa material kwelikweli nikafunika kombe... Ila weeeeMkuu, usisahau kuna single mothers wengine wanajitambua.
Huwezi kuwahukumu single mothers wote kwa makosa ya baadhi ya single mothers.
Past yake imechangiaje kubadilika ndani ya ndoa?Nimechunguza nikagundua ndivyo alivyo lakini pia past yake imechangia kumfanya awe hivyo alivyo
Malaika nilikua namjibu mkuuMie sijawahukumu single mothers wengine... Nimemuhukumu huyu wangu. By the way nilivyoanza nae alikuwa material kwelikweli nikafunika kombe... Ila weeee
Umeongea point sana, niliamua kubadilika ili kuitafuta amani... Ila kubadilika kwenyewe sasa kunanipa maumivu ya ndani kwa ndani... Niliaamua kuacha kumrekebisha ninapohisi anakosea maana ukali umezidi mno... Kwa sasa hata akisema hii 9 wkt mimi naona ni 6 hata sibishani naePast yake imechangiaje kubadilika ndani ya ndoa?
Kama ndivyo alivyo basi badilika wewe ili uishi kwa amani (najua ni vigumu)
Ulifanyaje mkuu. Tupe uzoefuHuyu kama yangu, ila nilifanya maamuzi magumu sana mpaka leo haamini. Single mother ili muende sawa, kule alipoanzia waachane kwa uhasama haswa tofauti na hapo single mother mtihani
Single mothers wana historia tofauti tofauti na wazazi wenza, ukiotea ukampata mzuri utafurahi... Sie tuliojichanganya sasa tunakula sana za usoHuyu kama yangu, ila nilifanya maamuzi magumu sana mpaka leo haamini. Single mother ili muende sawa, kule alipoanzia waachane kwa uhasama haswa tofauti na hapo single mother mtihani
Umeongea point sana, niliamua kubadilika ili kuitafuta amani... Ila kubadilika kwenyewe sasa kunanipa maumivu ya ndani kwa ndani... Niliaamua kuacha kumrekebisha ninapohisi anakosea maana ukali umezidi mno... Kwa sasa hata akisema hii 9 wkt mimi naona ni 6 hata sibishani nae
Past yake : kuna nyakati alipitia magumu sana huko nyuma yakamfanya awe monster kwa muda
Kwanza pole mkuuNipo kwenye ndoa huu mwaka wa sita na nilioa single mother ila kwa yanayoendelea najikuta nipo kwenye wakati mgumu sana wa kimaamuzi juu ya mustakabari wa ndoa yangu
KABLA YA NDOA
Mwanamke alikuwa ananielewa sana, ananisikiliza, ananiheshimu, ni mwepesi kusema samahani
Mwepesi sana kutoka nae out na ni kama alikuwa anaenjoy kiasi flani
Kitandani hakuwa haba, kujituma kama kote mpaka nakuwa nammiss kila nikiwa mbali nae, tulikuwa na uwezo kugegedana popote pale tunapojihisi tupo peke etu, iwe ofisini, garini, dkn, jikoni, sebuleni fainali chumbani ndiyo balaa zito
Nazimiss sana nyakati zile
BAADA YA NDOA
Mwanzo haukuwa mbaya sana wala mzuri sana ila ni vile unajipa moyo kwamba yanapita tu
Kusema samahani ni mpaka tuwe tunakaribia kuachana
Nikimuomba tutoke out haoneshi kufurahia tena kama zamani lakini pia hata akikubali mpo maeneo lakini akili yake ipo nyumbani, ni kama anatoka kuniridhisha mimi na haachi kulalamika kwamba pesa inaharibika, wakati mara nyingi anasisitiza tutume hela kwa ndugu zake na tunatuma na huwa halalamiki kwamba tunaharibu pesa
Penzi ni kama nimesusiwa(D2) nikimuuliza mbona hunyumbuliki au kujituma kama enzi zile anasema hana mazoezi. Na mimi nikimpotezea anaanza kulalamika eti sina hisia nae. Kiufupi anataka mie nifanye kila kitu(inaboa). Kiukweli kuna muda nakuwa na hamu sana ila kumfikia ndiyo nashindwa mpk natamani kujichukulia sheria mkononi
Nimeshaongea nae sana kuhusu tofauti zetu ila hakuna linalobadilika moja kwa moja. Kwa sasa namezea japo naumia ndani kwa ndani
Kitu kingine nimekuja kujua kwamba ni mkali sana hasa kwa watoto kiasi mpaka najisikia vibaya. Kwake yeye hakuna mtu anayejua zaidi yake.
Najikuta mpweke zaidi kuliko nilivyokuwa mpweke kabla sijaoa. Na kabla sijaoa vita yangu kubwa ilikuwa kujiweka vizuri kiuchumi ila baada ya ndoa nahisi nimejiongezea vita nyingine tena kubwa kuliko ile niliyokuwa napigana nayo kwa kipindi kirefu
Nikisema bado nampenda nitakuwa ninaudanganya moyo wangu unless naendelea tu kuishi nae kwa sababu ya watoto na heshima niliyojijengea kwa jamii ila nawaza mpaka lini nitaishi maisha haya
Taasisi ya ndoa ni ya wachache sisi wengine tumedandia tu na ndiyo zinatutafuna. NACHOMOKAJE HAPA? View attachment 3156830