Kabla hujavaa, angalia shape yako.

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji854][emoji854][emoji854][emoji854]
 
ila bashite kumbe ana tako hilo, watalaamu wa kuangalia misambwanda hua tunaangalizia kwa mbele.
 
Msisahau kuwa hapo kiunoni ana mguu wa kuku!
Dah yan jamaa anaishi maisha ya ndoto yangu
 
Wasukuma ndugu zangu mnasemaga tuna waonea sasa hiyo ni hizo ndio costumes za misiba.
 
nina hakika 100% makonda hafurahii umbile lake.

nahisi kuna wakati huwa anawaza kwenda nje ya nchi kuufanyia mwili wake plastic surgery hususani maeneo ya hips ila atakuwa anajishtukia maana mabadiliko ya ghafla kwenye mwili wake yanaweza yakazidisha kelele za bullying kutoka kwa jamii kubwa ya watu wasiompenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…