Kabla hatujamhukumu Halima Mdee na wenzake, kuna yeyote kati yenu atagoma ikiwa atateuliwa na Rais kwenye nafasi zake?


Hapo umenena, watahukumiwa 2025 wakati wa kutafuta kura, kwa sasa waacheni. Hao wabunge 20 wa Chadema watakuwa na kazi maalum bungeni kutetea msalahi ya taifa kwa niaba ya chama chao. Kuwa nje ya mfumu bila sauti kama CUF ilivyosusa 2015 kule Zenj ni kosa kubwa mno, kule Zenj kwa upande wa upinzani CUF ilifutika kabisa ndani ya baraza la wawakilishi na ndani ya serikali teuzi hata moja haikuenda CUF ya kipindi kile ambapo ni HASARA na KOSA kubwa lililofanyika na mwaka huu, 2020 wasifanye tena kosa yaani wasirudie kosa la 2015. Honorable Juma Duni Haji au Maalim Seif achukue nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais. If you cannot defeat them join them for the betterment of our nation Mama Tanzania.
 
Kwani bado Ni wabunge? Si wameshavuliwa uanachama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…