Kabla hatujamhukumu Halima Mdee na wenzake, kuna yeyote kati yenu atagoma ikiwa atateuliwa na Rais kwenye nafasi zake?

Kiyawi

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
1,857
2,000
Mimi nahisi tunawahukumu mapema sana. Kwa sababu wakigoma watatetea vipi maslahi ya watanzania?............. Tuwape nafasi wakubali waingie Bungeni.......Tutawahukumu, tena tutawahukumu na laana juu pale watakapouza utu wao kwa kuacha kupaza sauti zao kutetea na kusimamia misimamo yao wakiwa humo. Na mwisho wa siku tutawatunuku heshima iliyotukuka kama na endapo watafukuzwa Bungeni kwa kutokubaliana na maamuzi yasiyo na tija kwa watanzania (Wahukumiwe kwa kukemea maamuzi ya Chama kilichowateua leo).

Hapo umenena, watahukumiwa 2025 wakati wa kutafuta kura, kwa sasa waacheni. Hao wabunge 20 wa Chadema watakuwa na kazi maalum bungeni kutetea msalahi ya taifa kwa niaba ya chama chao. Kuwa nje ya mfumu bila sauti kama CUF ilivyosusa 2015 kule Zenj ni kosa kubwa mno, kule Zenj kwa upande wa upinzani CUF ilifutika kabisa ndani ya baraza la wawakilishi na ndani ya serikali teuzi hata moja haikuenda CUF ya kipindi kile ambapo ni HASARA na KOSA kubwa lililofanyika na mwaka huu, 2020 wasifanye tena kosa yaani wasirudie kosa la 2015. Honorable Juma Duni Haji au Maalim Seif achukue nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais. If you cannot defeat them join them for the betterment of our nation Mama Tanzania.
 
trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,749
2,000
Kwani bado Ni wabunge? Si wameshavuliwa uanachama?
Hapo umenena, watahukumiwa 2025 wakati wa kutafuta kura, kwa sasa waacheni. Hao wabunge 20 wa Chadema watakuwa na kazi maalum bungeni kutetea msalahi ya taifa kwa niaba ya chama chao. Kuwa nje ya mfumu bila sauti kama CUF ilivyosusa 2015 kule Zenj ni kosa kubwa mno, kule Zenj kwa upande wa upinzani CUF ilifutika kabisa ndani ya baraza la wawakilishi na ndani ya serikali teuzi hata moja haikuenda CUF ya kipindi kile ambapo ni HASARA na KOSA kubwa lililofanyika na mwaka huu, 2020 wasifanye tena kosa yaani wasirudie kosa la 2015. Honorable Juma Duni Haji au Maalim Seif achukue nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais. If you cannot defeat them join them for the betterment of our nation Mama Tanzania.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom