Kabla hatujamhukumu Halima Mdee na wenzake, kuna yeyote kati yenu atagoma ikiwa atateuliwa na Rais kwenye nafasi zake?

Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
24,085
2,000
Kahawa na kashata tu za Ikulu zilibadili Msimamo wote wa Kamati kuu ya Chadema enzi zile za Makamanda wakiwa makamanda kweli!
 

robinson crusoe

JF-Expert Member
Oct 22, 2020
484
1,000
Rejea tena kichwa cha mada hapo juu.

Muda unakimbia kwa kasi na mengi yanatokea na kupita, kumbukumbu huwa zinabaki.

Huenda sina kumbukumbu za kutosha, lakini kwa kadri ya 'hansadi' zangu sikumbuki mtu aliyewahi kuteuliwa kwenye ulaji na akagoma ili kulinda kile kinachoitwa msimamo wa chama.

Kama yupo/wapo basi tukumbushane, na pia tuhusianishe sababu zao kugomea uteuzi na mazingira halisi ya nyakati zao.

Ninaowakumbuka mimi ni wale waliokuwa mstari wa mbele, lakini ghafla wamekuwa watiifu na wachapakazi kweli kweli.

Mifano ipo mingi, sina haja kuitaja hapa labda ikihitajika.

Sasa basi, mara paap Rais JPM akaamua kuwajumuisha kwenye serikali yake hawa watu ambao leo wanaonekana mwiba na mahiri kuwashambulia wabunge walioapishwa.

Ni nani atagoma?

Hakuna asiyeijua njaa ilivyo kali huku nchi kavu, nguvu ya mamba ni maji. Sio Halima pekee mwenye njaa au hicho kinachoitwa tamaa, pengine tunawaonea wivu kwamba ni ganda la ndizi.

Yule mtu angeweza kususia uteuzi na awe wa kwanza kuwanyooshea kidole hawa wabunge.


Ncha kali.
Tatizo ni hizo bangi-bangi na kale katabia ka wawili! Haitakuwa mfano mbaya kweli kwa wa-TZ?
 

cencer09

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
2,884
2,000
Kila uliowahi kuwaamini kama viongozi wako waliishia kukudisapointi, ni kwa vile huwa wanachukua hadi nafasi ya kufikiria kwa ajili yako.

Jiruhusu kutumia akili yako kama unayo, au lah wote utawaona wasaliti.
Waliowahi kunidissapointi ni viongozi wezi wa CCM na wapuuzi wanaotoa hoja dhaifu za upambe kama zako
 

cencer09

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
2,884
2,000
When an empty brain tryn’ to sound intelligent!
I might be empty brain but you are an idiot
DEFINITION of IDIOT is KNOWING the TRUTH
SEEING the TRUTH and STILL BELIEVING the LIES
Ni mpumbavu kama wewe ambae hajaona uchafuzi ulioitwa uchaguzi
Pathetic fool
 

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
9,758
2,000
I might be empty brain but you are an idiot
DEFINITION of IDIOT is KNOWING the TRUTH
SEEING the TRUTH and STILL BELIEVING the LIES
Ni mpumbavu kama wewe ambae hajaona uchafuzi ulioitwa uchaguzi
Pathetic fool

I never argue with a fathead fool, people might not notice the difference!
 

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
11,153
2,000
Mwambieni jiwe amteue lisu mbunge wa kuteuliwa kama lisu atakubali, wapuuzi wakubwa nyie.

Mnafikiri binadamu wote ni wasaliti na wananjaa kama nyie, pumbav.
Mnaweweseka tu, akina mama wamewashinda mnakimbilia kwa huyo mbwatukaji. HAKUNA mwenye shida na huyo shoga ni wenu huyo huko chadema, CCM hawana shida na wakimbizi.
 

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
54,826
2,000
Kwisha habari yenu nyumbu, act hawataki shirikiana nanyi, afu unashobokea ccm, wenyewe tu chadema hamshirikiani.
Woi, marehemu hakukosea kuwaita nyumbu.
Mataga mtaharisha ugoro wote ila wasaliti tunawatimua waje wawaongoze huko.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom