Jamani wandugu, imeshatokea juzi tabata binti mdogo ana mtoto mdogo, nadhani kamzalia nyumbani (Nje ya Ndoa), kamchukua binti yake kambeba kwa Khanga mbele ya kifua, kajimwagia mafuta ya taa, kajiwasha moto waliungua vibaya, japo wasamaria mwema waliwahi kumzima, walipomuuliza akawaambia maisha ni Magumu heri afe!! nadhani waandishi hawakuipata wamfuatilie kama hayuke amana hospital atakuwa Muhimbili, nadhani kwa sasa ni Police Case... fuatilieni... things are coming our way now!! NAWASILISHA!!