Si bora hata kwenye CV, hakuna kitu kinaniboa kama Afande kakushika na kosa la bara barani, katika kutafuta umhonge anajifanya kuandika "notification" uchwara, mara unasikia, jina? kabila? kazi? to me kuniuliza kabila katika kosa la kutokuwa na fire extinguisher ni uhuni mkubwa!