Mkuu mburushi sio mwarabu, ni mpakistani kutoka Baluchistani na Karachi,na lugha yao ya asili sio kiarabu ni Kibulushi,
Wayemeni ndio waarabu wa kwanza kabisa hapa Duniani kabla ya kugawanyika katika mataifa mbalimbali,yaani waarabu wote asili yao ni Yemen,Kwahiyo Mshihiri ni mwarabu kutoka Yemen