Hahaha wagogo duniani hawapo ahera/peponi hawajafika
WapoWapo Tu!!
Labda vingunguti na mnazi mmoja!!
Historia ya hili linaloitwa Kabila la wagogo halipo na kwamba lilibuniwa tu na Wakoloni" Habari kamaili ipo hapo chini, kwa hiyo kwa kifupi hakuna kitu kama Kabila la Wagogo kama ilivyo hakuna kabila la Wasukuma Wachaga au Wanyamwezi yote haya yalibuniwa tu na Wageni!
(wikipedia)
,,Their name was invented sometime in the 19th century by the Nyamwezi caravans passing through the area while it was still frontier territory. Richard Francis Burton claimed a very small population for it, saying only that a person could walk for two weeks and find only scattered Tembes. There was and remains the problem of inadequate rain for crops and humans, the rainy season being short and erratic with frequent drought. In the 18th century the Wagogo were mostly pioneer colonists from Unyamwesi and Uhehe, and are often confused with the Sandawe and the Kaguru. Half the ruling group came from Uhehe. They had a long tradition of hunting and gathering, allowing the Wanyamwezi to carry the ivory to the coast, but had become agriculturalists with cattle by 1890. They continued, however, to have a low regard for working the land and are said to have treated their agricultural slaves badly"
Usiiamini sana wikipedia,maana mtu yeyote anaweza ku edit habari.Mimi niliedit habari ya utalii afrika mashariki,nikaisifia sana Tanzania baada ya kuona kenya inajipendelea kwa vyanzo vya utalii wakati sisi Tz tunaizidi.
Historia ya hili linaloitwa Kabila la wagogo halipo na kwamba lilibuniwa tu na Wakoloni" Habari kamaili ipo hapo chini, kwa hiyo kwa kifupi hakuna kitu kama Kabila la Wagogo kama ilivyo hakuna kabila la Wasukuma Wachaga au Wanyamwezi yote haya yalibuniwa tu na Wageni!
(wikipedia)
,,Their name was invented sometime in the 19th century by the Nyamwezi caravans passing through the area while it was still frontier territory. Richard Francis Burton claimed a very small population for it, saying only that a person could walk for two weeks and find only scattered Tembes. There was and remains the problem of inadequate rain for crops and humans, the rainy season being short and erratic with frequent drought. In the 18th century the Wagogo were mostly pioneer colonists from Unyamwesi and Uhehe, and are often confused with the Sandawe and the Kaguru. Half the ruling group came from Uhehe. They had a long tradition of hunting and gathering, allowing the Wanyamwezi to carry the ivory to the coast, but had become agriculturalists with cattle by 1890. They continued, however, to have a low regard for working the land and are said to have treated their agricultural slaves badly"
Na ile lugha yao waliibuni wakoloni?
Gweeeeesimsitake kutuzingua hapa,jina la kabila linakuja kutokana na asili ya kitu fulani,mfano "dar-es-salaam" Lina Asili Yake,halafu Mleta Mada We Ni Msukuma?Mmepunguza Kula Sana?
Kaona aibu kuwataja Waingereza kuwa ndo walilibuni kabila hilo maana hawa jamaa zetu kila kitu duniani hapa kizuri kina mkono wao.msitake kutuzingua hapa,jina la kabila linakuja kutokana na asili ya kitu fulani,mfano "dar-es-salaam" Lina Asili Yake,halafu Mleta Mada We Ni Msukuma?Mmepunguza Kula Sana?
Wikipedia sio acceptable source, hata wewe unaweza kutupia na kubadili chochote mle.Historia ya hili linaloitwa Kabila la wagogo halipo na kwamba lilibuniwa tu na Wakoloni" Habari kamaili ipo hapo chini, kwa hiyo kwa kifupi hakuna kitu kama Kabila la Wagogo kama ilivyo hakuna kabila la Wasukuma Wachaga au Wanyamwezi yote haya yalibuniwa tu na Wageni!