Kabila GANI Huyu?

Halafu utashangaa jamaa ana mpenzi wake anampenda kuliko kitu kingine chochote Mungu mkubwa hata wabaya wana watoto na familia ha ha ha ha.Jamaa kanikumbusha wimbo wa Dr Remmy Kipenda rohoo.




 
Weweeeeee...mambo ya Leka Dutigite hayoooooooooooooooooooooooooooo...mwisho wa reli.
 
Kwani kuna faida gani yakujua huyu ni wawapi? Acheni hzo. Huyu ni psychiatric tu na mm na ww tunaweza kuwa hv siku na saa yeyote.. acheni kufuru bhana.
 
utashangaa na ana demu na anakula mate kama kawa.
 
kama una mtoto mbishi wa kula ni pm nikupe namba ya huyu jamaa
 
Mbona kama na ukonda unamtoka? Inawezekana huyu jamaa ni mgonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…