Sakata la wimbo wake kuibwa na Mbunge wa Bunge la Muungano ni sehemu ndogo tu ya madhila yaliyowahi kumkuta msanii huyu mkongwe kwenye Bongo Fleva.
View attachment 342560
Zamani kidogo niliwahi kusikia kuwa Baisa ameporwa demu, ama tuseme mahusiano yake yalienda mrama kwa shinikizo la watu wa nje... Sio poa lakini Baisa hakumaindi kihivyo, kiroho safi akaacha maisha yaende na muziki wake ukue.
Kwa kweli Bayser anaonewa, nimeona walau nimsemee...
Bayser, Lil Sama, Blu, Simba ni mtu maarufu sana, ni msanii mkongwe hahitaji kiki yoyote kwa sasa. Kundi analoliongoza la Micharazo lilishajitanua hadi kuwa na tawi Kenya, oh yes!Huyo dogo anatafuta kiki asizozipangilia angekuwa anaseti kiki ambayo kweli hatoonekana kituko sasa yeye anakurupuka tu bila kujipanga.
Huyu huyu Jide wa Gadner!??...duuuh Interest yana ukweli haya?Kaporwa mademu wengi tu.. Naj, Wema Sepetu, Jide (ndio, Jide Komando), na kadhalika. Kuna siku mpaka akamuuliza Diamond kwenye intavyuu flani hivi, ''Ndugu nimekukosea nini?''.
Anyway, Byser ni namba nyingine. Mungu amtie nguvu aachane na sakata la mheshimiwa. Mhe ni mzee wa fursa.
Sio muanzilishi, Jina la Simba lipo tangu Simba mwenyewe achangamane na jamii ya Waswahili, Blu ni wa kwanza kulitumia kama Identity.Simba kwani yeye ndo muanzilishi wa ilo jina kama msanii.? Ilo jina kaanza nalo afande sele so blue hakutakiwa kulalamika.
Hahahaha unataka kunambia alienza kujita simba kati ya blue na afande ni nani...?.Sio muanzilishi, Jina la Simba lipo tangu Simba mwenyewe achangamane na jamii ya Waswahili, Blu ni wa kwanza kulitumia kama Identity.
Afande alikuwa anajipaisha na character ya Simba, lakini lakabu zake ni Baba Tunda, Mfalme Suleiman au Mfalme (kutokana na Ufalme wa Rhymes).
Bado jina la Simba ni la Lil Sama, Blu, Kiongozi Mkuu wa Micharazo, Byser, Msanii mwenye nidhamu kuliko wote kwenye Game.
Sema wewe unayetaka kuweka mambo sawa, kuniuliza kama najua Blu alisema nini ni kunitega. Byser ana nidhamu ndio... Sio kama Bongo Flavour wengi! Oooops, na kuhusu ushabiki, ni kweli mimi ni Shabiki wa Byser!Hahahaha unataka kunambia alienza kujita simba kati ya blue na afande ni nani...?.
Kipind byser kalalamika kuhusu jina la simba alipohojiwa kuhusu afande sele kujiita simba pia unajua blue alisema nini...?
Umeanza vizuri mwishoni umemaliza vibaya kwa ushabiki...hio nidhamu uliipima kwa kutumia nini..?
Ungejua blue alisema nini usingesema ndo ana haki na ilo jina...Sema wewe unayetaka kuweka mambo sawa, kuniuliza kama najua Blu alisema nini ni kunitega. Byser ana nidhamu ndio... Sio kama Bongo Flavour wengi! Oooops, na kuhusu ushabiki, ni kweli mimi ni Shabiki wa Byser!
Blu Na jide mkuu!!!!!??Kaporwa mademu wengi tu.. Naj, Wema Sepetu, Jide (ndio, Jide Komando), na kadhalika. Kuna siku mpaka akamuuliza Diamond kwenye intavyuu flani hivi, ''Ndugu nimekukosea nini?''.
Anyway, Byser ni namba nyingine. Mungu amtie nguvu aachane na sakata la mheshimiwa. Mhe ni mzee wa fursa.
Teh teh we sema tu hata Jaffaray aliibiwa Shy na mheshimiwaNini kuporwa wimbo.....amuulize jafarai. Bwana mdogo Tulia.
Mr. Blu anajua mengi kuhusu wanawake hata kabla ya ndoa. Mkuu Interest amekutajia hapo juu majina ya wamama alioruka nao, wote vichwa ngumu, wote pasua kichwa lakini kwa Byser walipita, wakatibiwa, wakaondoka kimya kimya bila makelele.Ndoa n ngumu sana kuna mengi tumuombee mr blue
Sio muanzilishi, Jina la Simba lipo tangu Simba mwenyewe achangamane na jamii ya Waswahili, Blu ni wa kwanza kulitumia kama Identity.
Afande alikuwa anajipaisha na character ya Simba, lakini lakabu zake ni Baba Tunda, Mfalme Suleiman au Mfalme (kutokana na Ufalme wa Rhymes).
Bado jina la Simba ni la Lil Sama, Blu, Kiongozi Mkuu wa Micharazo, Byser, Msanii mwenye nidhamu kuliko wote kwenye Game.
Hahahaha unataka kunambia alienza kujita simba kati ya blue na afande ni nani...?.
Kipind byser kalalamika kuhusu jina la simba alipohojiwa kuhusu afande sele kujiita simba pia unajua blue alisema nini...?
Umeanza vizuri mwishoni umemaliza vibaya kwa ushabiki...hio nidhamu uliipima kwa kutumia nini..?