bado jipya limetumika kiasi bei maelewano njoo pm
labda lipo PM ukienda ndio linaonekana....weka namba na picha
labda lipo PM ukienda ndio linaonekana....
Sijui kwanini watu wanaweka Matangazo Nusu Nusu..., hivyo kuwapa watu tabu ya kuuliza maswali ambayo yangejibiwa kwa picha, mahali kabati lilipo na ikibidi hata bei...
picha ?bei laki na sabini
ina urefu wa mita moja upana futi tatu lipo dar ilala