Kabati la nguo linauzwa bei chee!

Kabati la nguo linauzwa bei chee!

Tayo zeboss

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
467
Reaction score
196
habari wana jf
nauza kabati languo bei chee kama kichwa cha habari kinavyo sema. kabati bado lipya 7bu limetumika cku 5 tu! kama linavyoonekana pichani.
bei ni 200,000 tu
kama uko interested unaweza nichek kwa no. 0713943432
npo dar
 
nichek whatsapp kwa picha zaidi sababu nimeshinwa kuziweka
 
la kichina.. au haya ya kutengenezwa na maseremala wetu
 
la kichina.. au haya ya kutengenezwa na maseremala wetu

kitu origino bhna made in tanzania kwa hawa hawa maseremala wetu! na cyo mchina!
 

Attachments

  • 1415224434691.jpg
    1415224434691.jpg
    51.9 KB · Views: 737
...ila ni baya ! Kwa staili zangu lakini...
 
...ila ni baya ! Kwa staili zangu lakini...

siunajua mkuu kama uwezo wa kimaisha tunatofautiana? kwaiyo upo sahihi kwa namna 1 ama nyingine! na ndo mana kuna masaki na dandale kwa tumbo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom