Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 14,836
- 32,770
Ebwana wanaJF Mzuka!
Napenda anavyochangia humu huyu mwanajamvi mwenzetu. Yani short and clear. Uchangiaje wake utakuwacha hoi na hatumii sentensi ndefu. Utaona Sawa... Aisee.. Duh.. Ndio.. Haya... Inasikitisha... Kasheshe... tufanyeje.. Tumekwisha.. Hapana.. Tumekusikia
Ila msela pisii