Kabanga hii aina ya mbwa umeipata wapi?na mimi naitaka.

Huyu mbwa wa kamabanga hata ukimchorea anataka kuchepuka sijui amtafutie mwenzake?
 
huyu mbwa mchepuko hadi kwenye picha... mwenye mbwa atakuwa kivyako ... njoo chukua mbwa wako asije paramia ukuta huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…