Kabadilika tabia na bado nampenda

Kabadilika tabia na bado nampenda

Nafikiri uchukue hatua kama mwanamme kwa kufanyia kazi yafuatayo: 1. Muulize kwa kumjaribu lini umuoe kwa kumwambia uko tayari wakati wowote kumuoa ili uone mwitikio wake, akikataa kwa vijisababu visivyoeleweka au kuweka nyakati tofauti za kuoana! Yaani haeleweki! jua anakupiga chenga huyo hajielewi tu na ana mtu anamfanya uzinzi au wanakaribia kuanza usaliti wa kizinzi. 2. Muonyeshe kuwa wampenda sana kwa kuwasiliana nae mida ya kutongozana kuanzia saa 4 usiku na saa 12 asubuhi ili kujua cmu yake ikoje busy mida hiyo, ukiona iko busy sana muulize huwa anaongea na nani hiyo mida ya usiku karibia kila siku au kwa kila siku. AKIKUJIBU- ni rafiki wa kawaida, basi umwambie hutaki hiyo tabia, akiendeleza hyo tabia au akakujibu kwa ukali au kejeli tayari ujue KUNA MTU ANAYEMDANGANYA AU WAPO KWENYE HATUA ZA MWISHO ZA KUZINI. 3. Kuwa the Distance spy(mdadisi/shushushu wa mbali) kwa kumsurprise kumpigia simu mida asiyozoea we kumpigia lazima kama wewe ni SPY BY NATURE utagundua mengi yaliyo hasi kumhusu. 4. Acha kumpigisha stori za mapenzi badala yake mfanye kama dada yako hata kwa kuongea naye kwa dakika hata 3 tu kila mchana na sio usiku na usiku piga kimya, utaona reaction yake kama akupenda atakuhoji kwanini umebadilika ila kama sivyo ndo hata hana mda wa kukuuliza, lakini take care hata akikuuliza haimanishi hana mtu ila yawezekana yeye ni intelligent betrayalist( msaliti mwerevu) aweza jifanya anakupenda kumbe anakuficha kwa kukuandaa kuwa mme wake huku wasio na future naye wanamchafua, kuwa makini kumfahamu zaidi 5. Piga kimya hata wiki 2 bila text wala call uone vipi atakavyosema, akipiga kimya wiki zote 2 ujue kuna mtu anamchanganya. 6. Mwambie unataraji kumtembelea usikie mwitikio wake akikataa au akianza kuweweseka ujue kuna kitu, kama akikubali kumtembelea uvizie cmu yake uikague utajua vitu vya ajabu sana 7.Jiongeze kuwa mdadisi kwa kila jambo.

Naomba ni ku pm kama hutajali
 
Kumwacha mtu unayempenda ni sawa na kuisikiza akili yako kuliko moyo..naanzaje kumwacha mtu kwa tabia ambayo pia inaweza kubadilishwa

Good luck kaka ila ujue kwa mazingira kama hayo mwenzako kesha pata mtu ww umekuwa plan B
 
Anakujengea mazingira ya kuachana, hakuna cha zaidi.
 
Na ujuaji wako wote hilo limekushinda?
Sasa hizo picha utawarushia wangapi!! Subiri ukue dogo mapenzi yapo tu usiyaharakie.
 
Na ujuaji wako wote hilo limekushinda?
Sasa hizo picha utawarushia wangapi!! Subiri ukue dogo mapenzi yapo tu usiyaharakie.

Kwa maisha haya mapenzi usipoya enjoy utotoni/ujanani utakuja kuya anza umekuwa mkubwa na mwanamke utampata mbovu
 
Back
Top Bottom