dogo_mjuaji
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 222
- 48
Nina mpenzi wangu wa kike ana miaka 21 tunayependana sana tunaishi mikoa tofauti na hatujaonana zaidi ya mwaka na nusu..najiuliza kwa nini kipindi cha karibuni ananletea mazoea ya kijinga tukichart anani treat kama kaka/msela yake jinsi anavoniamkia unaweza ukadhani me ni mshikaji wake.imefika kipindi tunakaa mwezi mzima hajaniita majina ya kimapenzi kama baby au mpenzi..nlijaribu kumweleza wasiwasi wangu kwake nahisi hanipendi tena akanambia kwamba tumeshatongozana na kuhaidiana mengi kwa hio et nitulize wenge nisiwe na wasiwasi na kwamba kuchombezana kila siku ni mapenzi ya kitoto..kwa kweli nimekuwa simwelewi amepatwa na nini wakati mwingne anapiga picha akiwa amevalia nguo za kiume,mikogo na mikato ya kiume anaziweka mitandaon(UKIZIHITAJI HIZO PICHA NIKURISHIE WHATSAPP UZIONE NTUMIE NAMBA YAKO NIKURUSHIE UMUONE).kaingiliwa na jini gani mbona tabia za usagaji nimefanya uchunguzi hana sa kwanini awe kama tom boy salama jabiri..naombeni ushauri nianze wapi kumbadilisha arudi kwenye tabia za kike kama zamani bila ya kuachana maana sasa imekuwa too much mpaka nimemisi kumbembeleza lakini nafasi nakosa.?.kadata kama mvuta bangi alishawah kunambia kwamba hataruhusu mwanaume yoyote akiwepo mimi amuingizie gegedo alafu badae akaniomba msamaha..anapenda tuchat mda wote lakini tupige stori za kawaida nikiingiza stori za mapenz na mahusiano yetu ananiambia et mida kama vipi kuna kazi nafanya ila kama ni stor za kawaida mfano za burudani mtapiga siku nzima
NISAIDIENI MDOGO WENU NIMFANYAJE SHEMEJI YENU.NIANZIE WAPI KUMBADILISHA ARUDI KWENYE MSTARI.
NISAIDIENI MDOGO WENU NIMFANYAJE SHEMEJI YENU.NIANZIE WAPI KUMBADILISHA ARUDI KWENYE MSTARI.