Mpini Wa Chuma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,728
- 1,330
NaaamKimoki cha uchovu nmekuelewa kuna kimoko cha vumbi la kongo iko balaa
Mkuu kamwe usigombee ndiz wakati mgomba hukuotesha wweNa hii ni lazima wakubali wakatae,
mwanaume mzima utashindwaje kwenda zaidi ya round two?
Inamaana nisilipiganie penzi langu kisa yule demu sikumuumba mimi au?...Mkuu kamwe usigombee ndiz wakati mgomba hukuotesha wwe
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Vumbi la Kongo hilo nalipataje Mkuu?Kimoki cha uchovu nmekuelewa kuna kimoko cha vumbi la kongo iko balaa
Umeongea vizuri sana.Umelenga wale wanaume/wanawake wanao ishi maisha ya kuigiza ili waingie kwenye ndoa.
Siku zone maigizo yana mwisho na hulka ya mtu inaanza kujionyesha.
Kwanini tusikubaliane /tusipendane na mapungufu yetu hadi kwenye ndoa?
Turidhike na kuvumiliana na madhaifu yetu na wenzetu . Tukiweza tusaidiane kuyarekebisha madhaifu yetu na sio kwenda nje ya ndoa kukidhi mapungufu ya mwenza wako.
Mkuu mwanamke ni kama bahar unapigania kigamboni ununio wanavuaInamaana nisilipiganie penzi langu kisa yule demu sikumuumba mimi au?...
Sishangai ukichapiwa
Good goodBe carefull Mwana
Wanawake na Wanaume wana tabia ya kujisahau sana Aise... Wanawake wakiwa wanaiwinda ndoa wanajituma, viuno sana Feni chamtoto, akiolewa sasa... anarelaxx, anaona kamaliza, hajui competition iko palepale, we jifanye umefika uone vimada vitakavyo chukua nafasi, utajikuta ur just a house wife, raha wanapewa wanaojituma..
Na upande wetu Wanaume endeleeni kunywa bia, huyo mwanamke nataka shughuli, ukidhani umempata imetosha na hana la kufanya unajidanganya,
tunaojua kusimamia kucha tukimkamata tunaliammsha dudu mwanzo mwisho, we ukija na mibia yako unapiga kimoko cha kichovu unakoroma kama Beberu...Penzi ni jukumu, ukijisahau umeumia
OVA
Hiyo hainizuii mimi kupenda, Na kuilinda mali yangu kwa kuhakikisha napiga show to the maximumMkuu mwanamke ni kama bahar unapigania kigamboni ununio wanavua