Wanawake na Wanaume wana tabia ya kujisahau sana Aise... Wanawake wakiwa wanaiwinda ndoa wanajituma, viuno sana Feni chamtoto, akiolewa sasa... anarelaxx, anaona kamaliza, hajui competition iko palepale, we jifanye umefika uone vimada vitakavyo chukua nafasi, utajikuta ur just a house wife, raha wanapewa wanaojituma..
Na upande wetu Wanaume endeleeni kunywa bia, huyo mwanamke anataka shughuli, ukidhani umempata imetosha na hana la kufanya unajidanganya,
tunaojua kusimamia kucha tukimkamata tunaliammsha dudu mwanzo mwisho, we ukija na mibia yako unapiga kimoko cha kichovu unakoroma kama Beberu...Penzi ni jukumu, ukijisahau umeumia
OVA