Nimeupenda ujumbe huu,jumapili njema pia mkuu.Unaweza kuwa umekerwa sana na huyo mupenzi na unatamani ummwage na sio kummimina,nina ka ujumbe hapa nilitumiwa siku kidogo zimepita sio vibaya ukakasoma,inawezekana unakajua hebu katafakari upya leo,kanasema;
'
We come to love,not by finding a perfect person,but by lerning to love an imperfect person perfectly!
'
Jumapili njema!
ka ujumbe kako ni kazuri kwa kweli ! Karibu break point posta leo jioni upate ka juisi!unaweza kuwa umekerwa sana na huyo mupenzi na unatamani ummwage na sio kummimina,nina ka ujumbe hapa nilitumiwa siku kidogo zimepita sio vibaya ukakasoma,inawezekana unakajua hebu katafakari upya leo,kanasema;
'
we come to love,not by finding a perfect person,but by lerning to love an imperfect person perfectly!
'
jumapili njema!
Asante kweli kaujumbe kazuri nataman mwenzangu nae angesoma labda ingetusaidia sote.Unaweza kuwa umekerwa sana na huyo mupenzi na unatamani ummwage na sio kummimina,nina ka ujumbe hapa nilitumiwa siku kidogo zimepita sio vibaya ukakasoma,inawezekana unakajua hebu katafakari upya leo,kanasema; ' We come to love,not by finding a perfect person,but by lerning to love an imperfect person perfectly! ' Jumapili njema!
Sikusamehi hata ukijitia u-Saint leo.