Ka swali kadogo tu..

Ka swali kadogo tu..

Joined
Nov 23, 2011
Posts
12
Reaction score
3
Swali Dogo lakini Kubwa..
Mfano:KUNYA ingekuwa tamthilia, leo ingekuwa sehemu ya ngapi Kwako?!
 
Aiseee baba yangu ingekuwa kama tausi (siti na kalumanzila)


ngoja nipate mbege
 
Teh teh dah hizo tamthilia zote n mfano tosha na hiko kijiswali..mmmh 100 kwa 100..
 
hicho ni kichekesho ama udaku? sijakuelewa
 
ingekuwa zaidi kidogo ya jumla ya siku za miaka niliyoishi. Nasema zaidi kidogo coz kuna wakati tumbo lilivurugika ikawa zaidi ya mara1 kwa cku
 
Back
Top Bottom