Niaje wakuu,
Wakati na download software flani hivi (PC optimizer pro) nilijikuta nimedownload pia hii software inaitwa simple files. inafanya kazi kama torrent client lakini tofauti kuu ni kwamba hii unafanya direct download so haina haja ya seeds and stuffs. Mi nimeona iko poa 'coz mostly kila ninacho search kinakuja na nina download vizuri tu. Inataka kufanana na Warez back in days. Nimeshindwa kuiextract yenyewe kama yenyewe hivyo nimeattach na hiyo program niliyokua nadownload. try it and give feed back!